Fahamu kwanini Nakushauri Kutumia Vidonge vya Ucp kusafisha kizazi na Siyo Njia nyingine.
UCP ni Dawa yenye vidonge 3 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa siku week 2, kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, kisha unapumzika siku2 unaweza tena kidonge kingine. Vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemkali.
UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni na ugumba.
Vidonge hivi vya UCP vitakusaidia kutibu Changamoto zaidi za Uzazi
Kwa mwanamke kusafisha kizazi ni jambo la msingi hasa pale unapotaka kushika mimba,ama mimba kuharibika.
- Kwa tiba ya hospitali kusafisha kizazi kwa Kifaaa cha MVA ambacho hutumika kusafisha kizazi pamoja gharama za dawa inaweza kufikia shilingi laki 3 na kuendelea. Gharama hii yaweza kuwa kikwazo kwa wanawake wengine kufikia lengo la kusafisha kizazi.
- Vidonge vya UCP vinagharimu pesa kidogo tu sh elfu 50 ukilinganisha na gharama ya kusafisha kizazi hospitali, na uwezo wa vidonge hivi vya UCP wa kusafisha ni mkubwa zaidi na ni rahisi kutumia.
- Kutumia vidonge vya UCP inakuepusha na maambukizi pamoja na makovu ambayo unaweza kupata wakati wa kuingiziwa kifaa cha kukusafisha hospitali.
- Vidonge vya UCP vinakusaidia pia kuongeza uzalishaji wa ute kwenye uke, ute ambao ni muhimu kwa mimba kutungwa.
Makundi ya Wanawake Wanaotakiwa Kutumia Vidonge hivi vya UCP.
Wanawake wenye
- Uvimbe kwenye kizazi
- Uvimbe kwenye mifuko ya mayai (ovarian cysts)
- Maambukizi sugu kama PID na UTI
- Kuvurugika kwa homoni na hedhi
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa na maumivu wakati wa tendo
- Kuziba kwa mirija ya uzazi
- Kuimarisha misuli ya uke
- Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni na
- Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba
Ucp haitumiki kwa Wanawake hawa
- Wenye mimba
- Wanawake bikira
Hatua Zaidi za Kuimarisha Afya ya Kizazi
Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi. Ikiwa una magonjwa kama fibroids, ovarian cysts na kuziba kwa mirija hakikisha unapitia makala zake ambazo tayari tumeshaziandaa hapa kwenye website yetu.
Mazoezi: Hii ni hatua ya kwanza kabisa kuelekea kwenye kusafisha kizazi chako. Maozei ya kutembea na Yoga ni mazuri zaidi hata kama wewe ni mvivu wa kwenda gym au uwanjani, yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu na unyumbulikaji wa misuli kwenye kizazi.
Fertility Massage:Kufanya msaji eneo ya tumbo chini ya kitovu pande zote kulia na kushoto ni njia moja rahisi ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani pasipo gharama. Masaji ya tumbo inasaidia
- Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye kizazi,ovari na mirija ya uzazi
- Kusaidia uwiano wa vichocheo
- Kuongeza uwezo wa kizazi kujisafisha kwa kutoa tishu zilizokufa na damu ya hedhi
- Kuimarisha usambazaji wa hewa safi ya oksijeni kwenye kizazi na Kuimarisha misuli ya kizazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
hauluhusiwi kutoa mauoni kwa lugha ya matusi AU kumkashifu mtu