Jumatano, 14 Oktoba 2020

MUWASHO WA NGOZI

 *PUMU YA NGOZI NA TIBA YAKE* Pumu ya ngozi ni ugonjwa wa ngozi ambao kitaalamu wanauita atopic dermatitis,ni ugonjwa unaopelekea muwasho mkali na usiotibika kirahisi katika ngozi,muwasho huu kwa baadhi ya watu huambata na vipele ambavyo ukivikuna ngozi inabadirika na kuwa nyekundu na muwasho wake hauvumiliki,unaweza ukawa sehem ndogo ya ngozi au mwili mzima *SABABU ZA KUPATA PUMU YA NGOZI* ✍Aleji ya chakula, pafyum n.k ✍Ukavu wa ngozi ✍Kukaa mazingira ya baridi sana ✍mabadiliko ya hali ya hewa ✍Mgusano wa kemikali zisizo endana na mwili ✍mafuta ya nywele,pafyum au vipodozi visivyo endana na ngozi yako. *DALILI ZA KUWA NA PUMU YA NGOZI* ✍Ngozi kuwa kavu kusiko kawaida ✍ngozi kubadilika rangi ✍Muwasho mkali unaojirudia na usio vumilika ✍Kuota vipele na ngozi kuvimba bila sababu maalum ✍Masikio kutoa uchafu kwa walio athirika sana na tatizo hili *TIBA YA PUMU YA NGOZI* Kabla hujaanza kufikiria tiba ya tatizo hili soma kwa makini sababu kisha uangalie kwa wewe sabab 

Eczema kutibu kwa haraka ningumu kunadawa za kupaka  na zinapunguza muwasho taratibu mwisho unaisha kabisa penderea kura matunda na mbogamboga kwa wingi yanayo weza kupunguza hiyo hali

parachichi ,ndizi mbivu,papai,Apple,juice ya carrots,tango,alovera,spinach,viazivitamu,viaziulaya ,tangawizin unaweza sanga na kumpa mgojwa mtoto chini ya miezi 6 usimpe tangawizi samaki wa majibaridi pia wana saidia sana kama salmon wanafa zaidi wana omega 3           


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

hauluhusiwi kutoa mauoni kwa lugha ya matusi AU kumkashifu mtu

MADHARA YA PUNYETO

  Tiba ya madhara ya upigaji punyeto. Mwanaume mwenye mawazo Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo...