Jumatano, 14 Oktoba 2020

TATIZO LA KUKOSA CHOO

JE NAWEWE UNATATIZO LA KUKOSA CHOO????? SOMA SABABU ZA UKOSAJI CHOO NA SULUHISHO LA TATIZO HILO 

JEUNA TATIZO LA KUKOSA  CHOO AU KUPATA KAMACHA MBUZI......?????

MTU YEYOTE AMBYE ANAPATA ANGALAU  MLOMMOJA KWA SIKU NA KUPITISHA  KATIYA SIKUMOJA AU MBILI BILAKUPATA CHOO ANATATIZO LA KUKOSA  CHOO (constipation)

NINI KINASABABISHA KUKOSA CHOO......??

i) KUKOSA MLOKAMILI.KAMAVILE KULAVYAKULA VYENYE KIWANGO KIKUBWA CHA WANGA NA MAFUTA.
ii)KULA VYAKUKLA VILIVYO KOBOLEWA NA VILIVYO CHANGANYWA NA MADAWA ILIVISIHALIBIKE.
iii)MIFUMO HATALISHI YA MAISHA KAMAVILE MATUMIZI YA SIGARA NA POMBE KUPITA KIASI
iv)UKOSEFU WA KIWANGO CHA KUTOSHA CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KATIKA MLO (kula  matunda masaa 2,3 kabla ya mlo usile na chakula )
v)MAJI YASIYO SARAMA
vi) KUTA HEWA CHAFU

ATHARI ZA KUKOSA CHOO.
i)CHAKULA KUTO MEN"ENYWA (kusagwa) VIZURI
ii) MAUMIVU MAKALI WAKATI WAKUPATA CHOO
iii)UCHAFU ULIOKA MUDA MLEFU KUGEUKA SUMU.
iv) BAKTERIA WENYE MADHARA KUZALIWA NA KUATHIRI UTUMBO MPANA NA VIUNGO VINGINE MWILINI.

NI MAGOJWA GANI SUGU YANAWEZA KUSABABISHWA
i)SARATANI YA UTUMBO MPANA(colon cancer)
ii) PRESHA
iii) KUONGEZA UZITO(obesity)
iv) TUMBO KUJAA GESI
v) FIGO KUSHIDWA KUFANYA KAZI VIZULI
vi) KUKAKAMAA KWA MISHIPA YA DAMU
vii) MAGOJWA YA MOYO

NI NINI SULUHISHO SAHIHI LA TATIZO LA KUKOSA CHOO....????
Ondoa mgandamano wote wa taka katika utumbo mpana 

FAIDA YA KUONDOA MGANDAMANO
i) NI NJIA YA HARAKA NA SARAMA KWA AFYA YAKO.
ii) INAZUIA SARATANI YA UTUMBO MPANA(colon cancer)
iii) TATIZO LA KUKOSA CHOO UTAKUA UMELIMALIZA 
iv) UTAIFANYA NGOZI YA KOIWE NA AFYA NA NYORORO

samahani kwakusema hivi lakini ni ukweli uliowzi kuwa wa tanzania tuna aibu sana kuingia  maliwato huku tunaangaliwa na watuwngine. hii ni mbaya sana paleunapo bana hajakubwa ukasema nitaenda baadaye unatengeneza bochi katika utumbo chunguza marangapi umejibana ntangi umri huo hadi sasa vipochi vingapi umetengeneza na una takataka kiasigani tumboni mwako katika utumbo mpana...??
utafanya mazoezi ,utapunguza kula utameza baazi ya dawa lakini utabakina kitambi kikubwa 
sababu ya vipochi ulivyotengeneza kwa kubana choo
pili hata ukingia maliwato  unakimbia kimbia likitoka tonge  basi unainuka unanawa 
nihatali sana unatakiwa ukaeangarau dakika 10  ilikila kilicho taka kutoka kitoke

i) JE UTAJUA KUWA RANGI YA KINYESI,HARUFU YAKINYESI INAWEZA KUKUONYESHA UNAUGOJWA GANI....? AU BAKTERIA KIWANGO GANI....???

ii) JE UNAJUA KUWA MUUNDO AU SHAPE YA KINYESI INAWEZA KUKUTAMBULISHA UNATATIZO GAI.......????

HILI NISOMO TUTALISOMA KWA KPINDI KINGINE NAOMBA BAKIKUWA NAMI 

(SHEA NAWENGINE WAPOTE NA KUJIFUNZA KWAUWEZO WANGU TUTAAPONA)
Ahsante


Maoni 2 :

hauluhusiwi kutoa mauoni kwa lugha ya matusi AU kumkashifu mtu

MADHARA YA PUNYETO

  Tiba ya madhara ya upigaji punyeto. Mwanaume mwenye mawazo Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo...