HABARI ZA LEO MABIBI NA MABWANA. KUNA DAWA INAITWA KIKULAGEMBE.MTI HUU NI DAWA SANA MIZIZI YAKE KWA MARADHI YA TUMBO LINALOUMA LIWE LA KICHAWI,KIJINI AU NGIRI AU LA CHANGO AU TUMBO LA HEDHI AU LA KAWAIDA.UNACHEMSHA MIZIZI YAKE UNAKUNYWA KIKOMBE CHA CHAI 1X2 KWA SIKU5.PIA NI DAWA YA KUFUNGA UZAZI KWA KICHIMBA MIZIZI BILA KUPUMULIA PALE KISHA UNAVITUNGA HIVYO VIZIZI ANAVAA HUYO MWANAMKE KIUNONI. ASANTEN. KWA MASWALI AU MAONI COMENT HAPO WAWEZE KUJUA WOTE
MUNGU NI MWEMA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
hauluhusiwi kutoa mauoni kwa lugha ya matusi AU kumkashifu mtu