Jumapili, 18 Oktoba 2020

BAWASIRI NI UGOJWA GANI

Mada yetu ya leoitazungumzia tatizo linalo wapata wengi wake kwa waume,kwenye sehemu zaoza kutolea haja kubwa .endapo utapata maumivu kwenye sehemu ukiona damu au vinyama vinyama vinavyo ning'inia yaweza kuwateali ni muhanga wa tatizo tunalolchambua hiileo.


BAWASIRI NI UVIMBEUNAOOTA NDANI AU KUZUNGUKA TUNDU LA KUTOLEA HAJA KUBWA.

Awali ya yote tunaona bawasiri ni nini,kisha tunajadili aina zake,sababu ya uwepowake ,mwisho kabisa tiba ambazo zinaweza kutolewakuondoa tatizo hilo.sehemu ya mwisho ya utumbo mkubwa itwayo (anali canal) inaulefu wakiasi cha sentimeta  4hivi. sehemu ya chini ya anali canal nisehu ya kutolea kinyesi njeya mwili .sehemu ya juu yake inaungana na rectam ambayo pia ni sehemu ya utumbo mpana .

kuna mtandao wa veni ndogo (mishipa ya damu) kwenye ngozi inayofunika anal canal mara nyingi vena hizi hupanuka na kuluhusu damu Nyingi na kuzifanya zitune veni hizi zilizo tuna na tishu zunazozizunguka zinaweza kutengeneza uvimbe kwenye eneo moja au zaidi na hii ndohutwa BAWASIRI 

KUNA AINA NGAPI ZA BAWASIRI....????

kuna aina mbili (2) za bawasiri

i) Bawasiri za ndani.

ii) Bawasiri za nje.

i) Bawasiri za ndani...

nizile zinazotokea kwenye eneo la ndani lilozaidi ya sentimenta 2-3 kutoka kwenye tundu la kutolea kinyesi.kwenye eneo la juu la anal canal. bawasiri za ndani kwakawaida hazina maumivu kwasababu sehemu ya juu ya anal cnal haina nyuzi za neva za maum

ii) Bawasiri za nje.

nizile zinazo tokea kwenye eneo lililochini yake eneo la chini la anal canal bawasiri za nje zawza kuwa na maumivu kwa sababu eneo la chini la anal canal lina wingi wa mishipa ya neva za maumivu.

BAWASIRI HUSABABISWA NA NINI 

sababu kamili zinazo sababishwa mabadiliko ya tokee kwnye veni zlizo kwenye utando unaofunika anal canal na kusababisha bawasiri itokee haija fahamika .bawasiri nyingine hutokea bira sababu malumu. inafahamika kuwa kuongezezka kwa msukumo wa damu kwenye eneo la ndani na linalo zunguka tundu la haja kubwa kunaweza kuwa ndosababukubwa . kuna mazingira ambayohuchangia uwezekano wa kutikea kwa bawasiri zaidi nayo ni.

i)KUFUNGA CHOO 

kutoa kinyesi kikubwa au kigumu au kujikamua kwa nguvu wakati wa kujisaidia haja kubwa.Hiihuingeza msukumo ndani na kuzunguka veni za kwenye tundu la haja kubwa.Hii inaonekana kuwa ni sababu moja wapo ya kuwepo kwa bawasiri.

ii)MIBA 

nikawaida kabisa bawasiri kujitokeza wakati wa ujauzito Hiihutokea kutokana na msukumo unaotoka juu ya tundu rahaja kubwa kwa kutokana na mtoto kulal juu ya maeneo hayo na kutokana na matokeo yaynayo tokana na mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito

iii) KUZEEKA 

Tishu zinazo zunguka ndani ya tundu la hajakubwa  zinaweza kupotza nguvuu kulingana na umri kuwa mkubwa.

iv) KURITHI

Watu wengine wanaweza kurithi udhaifu wa kuta za veni za kwenye kuta za tundu la haja kubwa 

SABABU NYINGINE ZINA JUMUISHA KUNYANYUA VITU VIZITO NA KIKOHOZI CHA MUDA MREFU (SUGU)

bakina mimi kipindi kinacho fata nitawaletea 

dalili 

tiba ya bawasili 

mungua awalehemu nyote mnaoniunga mkno na kunisapoti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

hauluhusiwi kutoa mauoni kwa lugha ya matusi AU kumkashifu mtu

MADHARA YA PUNYETO

  Tiba ya madhara ya upigaji punyeto. Mwanaume mwenye mawazo Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo...