Jumapili, 25 Oktoba 2020

KISONONO

 

Kisonono Ni Nini ? Je Kuna Tiba Ya Kisonono?

Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake.

Nini Husababisha Kisonono Au Gonorrhea??

Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae.virusi wa gonorrheaNa hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uzazi, hapa utafahamu ya kwamba aina zote za ngono husambaza maambukizi ya kisonono aina hizi ni kama

  • Ngono ya kawaida kupitia uke (vaginal intercourse)
  • Ngono kupitia njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Na ngono kupitia mdomo (oral sex)

Bacteria hawa wa Neisseria Gonorrhoeae huwa kuambukizwa pia kwa kugusa mahali au kiungo kilichoathirika mfano kugusa uke, uume, mdomo au sehemu ya haja kubwa ambayo tayari imeathirika na kisonono. Habari njema ni kwamba Bacteria hwa hawawezi kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa Zaidi ya sekunde kadhaa, hivo hutaweza kupata maambukizi haya kwa kutumia vyoo vya uma au kuchangia nguo na mgonjwa wa kisonono, Lakini wanawake wenye kisonono huweza kuwaambukiza watoto wanaozaliwa wakati wa kujifungua.

Dalili za kisonono

Kwa mtu kuanza kuugua kisonono huchukua walau siku 2 mpaka 5 tangu kuambukizwa ili kuanza kuona dalili mbaya, lakini wakati mwingine yaweza kuchukua mpaka siku 30 hasa kwa wanawae kuanza kuona dalili za ugonjwa, Dalili hizi zinaonesha una kisonono na unahitaji kumwona dactari mapema

Dalili za kisonono kwa wanawake

  • Maumivu wakati wa kukojoa
  • Kuwasha kwa sehemu ya haja kubwa, na kutoa majimaji mazito kila mara
  • Kutokwa na uchafu ukeni kusiko kawaida wakati na baada ya tendo la ndoadalili za kisonono
    • Kuvurugika kwa hedhi ama hedhi kuchukua siku nyingi Zaidi
  • Maumivu ya tumbo chini ya kitovumaumivu ya tumbo
  • Kupata homa mara kwa mara na kujisikia mwili kuchoka sana

Dalili Za Kisonono Kwa Wanaume; 

kwa upande wa wanaume dalili hujitokeza mapema Zaidi na hivo wanakuwa wa kwanza katika kutafuta tiba na ushauri wa kiafya, maana tatizo husababisha kuumwa sana homa kali, dalili zingine ni kama

  • Kutokwa na uchafu mithili ya maziwa na njanokisonono kwa wanaume
  • Maumivu makali wakati wa kukojoa na mkojo wa mara kwa mara
  • Kuwasha kwa sehemu za uume na haja kubwa
  • Kwa wagonjwa wachache hutokea macho kuwa mekundu.

Namna Gani Unaweza Kujizuia Kupata Kisonono?

Hili ni swali ambao yawezekana kila mmoja wetu anajiuliza   jinsi gani ajikinge ii kuepuka madhara ya kisonono ambayo ni makubwa Zaidi. Njia rahisi za ya uhakika kutoapata kisonono ni kuacha kabisa kujiusisha na ngono. Najua ni vigumu kwa watu wote lakini ndio njia ya uhakika Zaidi, watu wasioshiriki ngono mara kwa mara pia wapo kwene hatari ndogo Zaidi ya kupata kisonono. Kuepuka ngono kabisa ni jambo gumu kutokana na kwamba mahusiano mengi hasa ya mke na mume yanaimarika  kwa kufanya Ngono, ngono ni kiungo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya mke na mume. Hivo ili kupunguza hatari ya kupata kisonono hakikisha unafanya ngono salama na kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu.

Makundi Ya Watu Waliopo Katika Hatari Zaidi Ya Kupata Kisonono ni
  • Wenye umri mdogo
  • Wanaofanya ngono mara kwa mara na wapenzi wapya
  • Wanaofanya ngono na mtu mwenye mpenzi mwingine
  • Wenye wapenzi wengi (michepuko)
  • Wanaume wanaofanya ngono kinyume na maumbile na wanaume wenzao
  • Kujihusisha na ngono chini ya umri wa miaka 25
  • Waliowahi kuugua kisonono kwa kipindi cha nyuma
  • Wenye magonjwa mengine ya ngono kama vile Ukimwi
Unataka Kuishi Bila Ya Maambukizi Ya kisonono? Fuata Njia Hizi Salama
  1. Tumia condom kwa kila tendo la ndoa: husaidia kuzuia bacteria kupenya kwa mtu mwingine wakati wa ufanyaji wa ngono
  2. Hakikisha mpenzi wako mpya anafanyiwa vipimo kabla hamjaanza mahusiano ili kpunguza hatari ya kupata maambukizi
  3. Usifanye ngono na mpenzi wako kama anaonyesha kuwa na dalili za kisonono, mfano kupata maumivu wakati wat endo, au kutoa majimaji mazito ya kijani na njano yenye harufu, au kujitokeza kwa malengelenge kwenye uume au uke,.unapoona dalili hizi basi wewe na mpenzi wako acheni kufanya ngono kwa muda mpaka mtakapofanya vipimo na kupata tiba kwa ugonjwa huu.
  4. Fanya vipimo mara kwa mara walau mara moja kwa mwaka ili kugundua maambukizi mapema na kutibu mapema
MUHIMU KWA WAJAWAZITO WENYE KISONONO

Kama wewe ni mjamzito na umegundulika una kisonono basi wasiliana na Daktari wako ili aweze kukuanzishia tiba inayofaa ambayo haitaleta madhara kwa mtoto aliyeko tumboni. Kisonono huweza kusababisha matatizo  makubwa kwa kichanga cha tumbo hivo inashauriwa kutibu ugonjwa huu mapema iwezekanavyo ili kupunguza hatari kwa mtoto.

Kisonono kinatibika vizuri kama mgonjwa atafuata utaratibu wa tiba kwa usahihi. Kumbuka ni muhimu kucheza salama na kuepuka ngono nzembe ili kujizuia na maambukizi ya kisonono

UTI SUGU

 

Kwanini Unapata UTI sugu?

Dalili za UTI

Maambukizi kwenye  njia ya mkojo (UTI)ni maambukizi yanayoshika nafasi ya pili kuupata mwili mara nyingi zaidi. Maambukizi haya hufanya mtu kukosa raha na kwa baadhi ya watu hasa wanawake ni tatizo la kiafya linalojirudiarudia mara nyingi. Kwa bahati mbaya ni kwamba tiba iliyozoeleka kwa UTI ni kutumia antibiotics ambapo bacteria wanaosababisha UTI wanaoitwa E.coli wameanza kuwa sugu dhidi ya hizi antibiotics na hivo kupelekea wagonjwa wengie kupata UTI sugu. Kwa upande mwingine kuna tiba asili ambazo unaweza kujitibu ukiwa nyumbani na ukapona ugonjwa huu pasipo kutumia vidonge vya antibiotics

UTI sugu Ni Kitu Gani?

UTI ni kifupi cha maneno urinary tract infection yaani maambukizi kwenye njia ya mkojo. UTI ni mkusanyiko wa maambukizi eidha ya fangasi, virusi au bacteria ambayo yanatokewa kwenye njia ya mkojo ya mwanamke na mwanaume. Tunaposema njia ya mkojo tunaongelea figo zote mbili, mirija inayotoa mkojo kutoka kwenye figo hadi kwenye kibofu cha mkojo huitwa ureter, kibofu chenyewe,na mrija wa kutoa mkjo nje kutoka kwenye kibofu. Kazi ya figo ni kuchuja maji yaliyopokwenye damu na kutoa maji yaliyozidi, na takamwili. Baada yah apo mkojo huifadhiwa kwenye kibofu na baadae kutolewa nje kupitia mrija wa urethra ambayo una misuli ya sphincter iliyopo kwenye uke na uume.

Bacteria wanaopatikana kwenye kinyesi ndo kwa kiasi kikubwa  husababisha UTI. Bacteria hawa wanapoingia kwenye njia ya mkojo mwili kwa kutumia kinga yake huweza kuwadhibiti, lakini inaposhindikana ndipo bacteria hawa husababisha madhara. Kitendo cha kukukojoa mara kwa mara husaidia kusafisha bacteria waliojishikiza kwenye njia ya mkojo, na pia tezi dume hutoa majimaji kwa mwanaume ambayo huzuia ukuaji wa bacteria wabaya. Japo kuna kinga kubwa ya mwili dhidi ya UTI lakini bado kuna hatari ya kuugua ugonjwa huu ndio maana tunatakiwa kuwa makini zaidi.

Dalili Za UTI

Zifuatazo ni dalili za moja kwa moja kwa watu wazima

  • Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa
  • Kujiskia hali ya kuchomachoma kwenye kibofu wakati wa kukojoa
  • Kujiskia kukojoa mara kwa mara, na kupata mkojo mdogo sana
  • Maumivu ya misuli
  • Maumivu ya tumbo la chini
  • Mkojo kuwa mwekundu au wa pink( dalili ya damu kwenye mkojo)
  • Mkojo unaonuka zaidi
  • Maumivu ya nyonga kwa wanawake
  • Wakati mwingine kushindwa kujizuia mkojo kutoka

Aina Za Maambukizi Kwenye  Njia Ya Mkojo (UTIs)

Kuna aina nyingi za maambukizi katika njia ya mkojo. Maambukizi yanayotokea kwenye mirija ya urethra huitwa Urethritis, na dalili zake ni kama maumivu ya mgongo wa chini, homa kali, mwili kutetemeka na kutapika, urethritis yaweza kusababishwa na Bacteria wa E. coli  na Virusi pia wa herpes simplex.

Kama maambukizi yametokea  kwenye kibofu basi huitwa cystitis. Dalili za athari kwenye kibofu ni kama maumivu ya nyonga, mkojo wa mara kwa mara unaoambatana na maumivu makali na mkojo wenye damu.

Bacteria pia wanaweza kusafiiri mpaka kwenye figo na kuathiri figo, aina hii ya maambukizi tunaita pyelonephritis. Dalili za kuwa figo zimepata athari ni maumivu wakati wa kukojoa hii ni kutokana na uwepo wa mawe ya figo ambayo hukwama kwenye mirija ya kutolea mkojo.

Sababu Na Mazingira Hatarishi Yanayopelekea Upate UTI Sugu

Maambukizi kwenye njia ya mkojo hutokea pale bacteria wanapoingia kwenye njia ya mkojo, kujishikiza na kuanza kukua mpaka kuleta athari. Ukifahamu kinachosababisha UTI basi ni rahisi kwako kuepuka na hutasumbuka tena kupata UTI sugu kila mara, yafuatayo ni mazingira hatarishi yanayoongeza uwezekano wa kupata maambukizi haya.

Wanawake

Wanawake wapo hatarini zaidi kupata maambukizi kwenye njia ya mkojo kutokana na kwamba njia yao ya mkojo kuelekea kwenye kibofu ni fupi kwahiyo bacteria wanaweza kusafiri haraka zaidi na kuleta athari kwenye kibofu, sababu ingine ni kwamba njia ya kutolea mkojo kwa mwanamke kwenye uke ipo karibu zaidi na mahali pa haja kubwa penye bacteria waletao maambukizi.

Kufanya Ngono

Utafiti uliofanyika katika chuo kikuu cha Washington kitengo cha tiba unaonesha kwamba moja ya kihatarishi kikubwa kwa wanawake wa umri wadogo kupata UTI ni kujihusisha na ngono. Ngono huweza kuhamisha bacteria kutoka kwenye mdomo wa uke mpaka kwenye mirija ya urethra. Ndio maana inashauriwa kwa mwanamke kupata mkojo na kukojoa mara baadaya ya kufanya ngono ili kuflash bacteria wabaya.

Njia Za Kupanga Uzazi

Baadhi ya njia za kupanga uzazi huweza kuongeza  hatari ya kupata mambukizi kwenye njia ya mkojo. Matumizi ya condoms huweza kufanya Ngozi itutumke na hivo kuwa rahisi kwa bacteria kushambulia tishu laini za uume au uke.

Wajawazito.

Maambukizi kwenye njia ya mkojo ni tatizo kubwa kwa wanawake. Watafiti wanaamini kwamba mabadiliko ya vichocheo vya uzazi wakati wa ujauzito hupelekea kuhama kwa njia ya mkojo na hivo kuongeza hatari ya kupata maambukizi ya UTI. Kutokana na kuhama kwa njia ya mkojo hupelekea bacteria kusafiri mpaka kwenye figo na kuleta athari kirahisi. Ndio maana kuna umuhimu kwa wajawazito kufanyiwa vipimo vya mkojo mara kwa mara.

Wanawake Waliokoma Hedhi

Grupu lingine ambalo lipo kwenye hatari zaidi ya kupata UTI ni wale waliokoma hedhi. Utafiti unasema kwamba upungufu wa kichocheo cha estrogen kwa wanawake hawa huchangia ukuaji wa bacteria. Na changamoto kubwa kwa wahanga wa UTI ni kwamba huwa inajirudia rudia. Kadiri unavougua zaidi basi ndipo hatari ya kuugua tena huongezeka. Japo wanaume wapo kwenye hatari ndogo ya kupata UTI, hatari ya kuugua tena inaongezekana kwa wale waliowahi kuugua maana vimelea hujificha kwenye tezi dume.

Tiba Asili Za Kutibu Na UTI Sugu Na Kujikinga Kuugua UTI Mara Kwa Mara

  1. Hakikisha unakunywa maji ya kutosha: maji haya husaidia kuflash bacteria wabaya kabla hawajaleta athari
  2. Neda haja ndogo mara kwa mara. Unapopata haja ya kukojoa basi usisubiri neda katoe mkojo mara moja, na pia ni muhimu kukojoa baada ya kufanya ngono ili kuwasafisha wale bacteria walioingia kwenye njia ya mkojo.
  3. Kwa mwanamke jipanguse kuanzia mbele kwenda nyuma hasahasa baada ya kwenda haja kubwa, hii ni kuhakikisha bacteria hawaingii kwenye njia ya mkojo .
  4. Vaa nguo kubwa zisizobana: uvaaji wa nguo pana zisizobana hasa za ndani husaidia hewa kuzunguka na kukausha njia ya mkojo na hivo kuzuia kukua na kumea kwa bacteria.
  5. Tumia virutubisho kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza. Watafiti wanasema uwepo wa bacteria wazuri (normal flora na kinga imara ya mwili husaidia kuepusha maambukizi ya UTI. unaweza kutembelea stoo yetu kwa kubonyeza hapa ili uanze huduma ya virutubisho
  6. Kitunguu saumu: kitunguu saumu kina tabia ya kuua bacteria, matumizi ya kitunguu saumu mara kwa mara ni moja ya tiba asili ambayo unaweza kutumia ukiwa nyumbani japo unatakiwa kutumia kiwango kikubwa  mpaka kupona, ndio maana tunashauri utumie virutubisho ambavyo tayari vimetengenezwa katika mfumo wa vidonge maaana vina kiwango kikubwa cha dawa ndani yake.

FANGASI UKENI

 

Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)

Mamilioni ya watu kwa sasa wanapambana na kiumbe mwenye seli moja asiyeonekana, ambaye ni fangasi anayeitwa Candida.  Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili na wanatafuta dawa ya fangasi ukeni kila siku. Maambukizi haya ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke yakisababishwa kwa kiasi kikubwa  na fangasi aina ya Csndida Albicans, na maambukizi haya pia hujulikana kama Yeast infection/Yeast thrush.

Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini?, Je Kuna tiba ya Fangasi?           

Kikawaida vimelea hawa wa Candida Albicans hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia chakula (Pharynx), kibofu cha mkojo, uume au katika uke na kwenye ngozi pia. Bacteria hawa huishi katika sehemu hizo bila kuleta  madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, mfano mabadiliko katika hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0-4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali pia kupungua kwa Kinga ya mwili kutokana na magonjwa mbalmbali huletekeza kukua kwa Candida, ndio maana wagonjwa wenye maradhi ya ukimwi na saratani ama wanaopata matibabu ya mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kuumwa fangasi ya Candida.

Candida pia hupatikana kwenye mdomo, tumbo, kwenye kwapa,  hivo pale inapotokea fangasi hawa wa Candida kuanza kukua kupita kiasi bila kudhibitiwa kitendo hicho huitwa Candidiasis ama Yeast infection,matokeo yake ni mfululizo wa maambukizi na kuumwa kwa mwili .

Bahati mbaya ni kwamba taarifa nyingi za mtandaoni zimekuwa zikipotosha pasipo kueleza kwa ufasaha juu ya tatizo hili na hivo kufanya uelewaji wa tatizo kuwa mgumu. Hivo kama unasumbuliwa na tatizo hili na unapenda kujifunza na unahitaji kujua kuhusu dawa asili ya fangasi sugu basi endelea kusoma makala hii kwa umakini mpaka mwisho.

Ni muhimu kuelewa kwamba kukua kupita kiasi kwa Candida siyo kwasababu Candida wanapatikana kwenye eneo husika, hapana na ndio maana tatizo linakuwa gumu kutibika kutokanana na kwamba dawa nyingi huua Candida wote na kuua bacteria wazuri na hivo kuharibu msawazo wa mwili. Kumbuka uwepo wa Candida ni muhimu kwa ufanisi wa mwili.

Fangasi Ukeni (Vaginal Candidiasis)

Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza isiwe ugonjwa hatari pale unapanza, lakini, huleta usumbufu na harufu kali na hivo mgonjwa kukosa amani. Baadhi ya mambo yanayoongeza hatari ya kupata maambukizi ya fangasi ukeni ni ujauzito, kuumwa kisukari, kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na kuugua magonjwa mbalimbali na pia matumizi yaliyokithiri ya dawa hasa zile za kuua bacteria/antibiotics. Wanawake wapo katika hatari kubwa zaidi ya kuugua fangasi za sehemu za siri ukilinganisha na wanaume, lakini pia hata wanaume huambukizwa tatizo hili.

Je Upo Kwenye Makundi ya Tabia hizi Hatarishi Kupata Fangasi?

Kwa wanawake kuna baadhi ya tabia hatarishi zinazoongeza chansi ya kupata maambukizi ya fangasi wa Candidiasis.

  • Ngono mara kwa mara na watu tofauti tofauti bila kinga
  • Kufanya ngono kupitia mdomo
  • Matumizi makubwa ya mipira wakati wa ngono mfano Condoms
  • Matumizi makubwa ya tissue za kujisitiri/ huitwa pantliners
Mambo mengine hatarishi yanayopelekea kukua kwa fangasi wa Candida kwa wote mwanaume na mwanamke;
  • Matumizi yaliyokithiri ya antibiotics
  • Kuugua kwa mda mrefu ugonjwa wa Kisukari.
  • Kiwango kikubwa cha homoni za uzazi.
  • Vinasaba na
  • Uvutaji wa sigara

Maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VINGINE VINAVYOPELEKEA KUPATA FANGASI  (CANDIDIASIS)
  • Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
  • Magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
  • Wanawake wenye umri wa miaka 20-30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wamekoma hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia.
  • Matumizi ya vidonge vya majira
  • Msongo wa mawazo uliokithiri ;
  • Kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
  • Matumizi ya vilainishi wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
  • Kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
  • kuwa na utapiamlo (malnutrition), kuvaa nguo za ndani zisizo kauka vizuri na kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehemu za siri.

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI 

  • Kuwashwa sehemu za siri
  • Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana
  • Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation .
  • Kupata vidonda ukeni (soreness) .
  • Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
  • Kupata maumivu wakati wa kukojoa na
  • Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji
    NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI na dawa asili ya fangasi sehemu za siri..

Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana hospitali  na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka. Pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pia ugonjwa huu unaweza kujikinga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kuzingatia kanuni ya afya na usafi.

  • Vaa nguo za ndani ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au Hariri
  • Epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya mpaka pale atakapotibwa na kupona kabisa.
  • Kula mlo wenye virutubsho muhimu.
  • Epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
  • Osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi.
  • Epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
  • Kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni.
  • Epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
  • Epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni.

Muhimu kwa Wagonjwa wa Fangasi ukeni

Kwa mwanamke mwenye changamoto ya fangasu sugu , tunashauri atumie Uterus cleansing pill kusafisha kizazi ili kuondoa maambukizi haya. Uterus cleansing pill (UCP) ni vidonge 3 vilivyotengenezwa kitaalamu kwa kuzingatia uasili wa dawa kutatua changamoto za wanawake kama kupata harufu mbaya ukeni, maambukizi ya fangasi na bacteria, PID na kuziba kwa mirija ya uzazi.

vidonge vya kusafisha kizazi
uterus cleansing pills

Vidonge vya Uterus cleansing vinatumika kwa siku 15. Kidonge kimoja kinawekwa ukeni na kutolewa baada ya siku 3, kisha unapumzika siku 2,unaweka tena kidonge kingine. Havitumiki kwa wajawazito, bikira na kipindi cha hedhi.

FANGASI

 

Fangasi Sugu

Fangasi sugu (Candidiasis)
Kwenye makala hii utajifunza dalili za fangasi, nini kinachosababisha upate fangasi sugu na aina ya lishe unayotakiwa kutumia ili kutibu fangasi.

Candida ni nini?

Candida ni aina ya fangasi ambao wanapatikaa kwenye mdomo, uke, tumbo la chakula na wenye ngozi. Katika hali ya kawaida ya mwili fangasi hawa hawaleti madhara na pia husaidia shuguli za mwili. Pale inaopotokea kinga ya mwili kushuka fangasi hawa huanza kukua kupita kiasi na kuleta madhara.
Fangasi wa candida wanaweza kukua na kusambaa mpaka kwenye mfumo wa damu, kwenye ubungo na kusababisha tatizo kuwa sugu endapo halitatibiwa mapema.

Hali ya tindikali kwenye mwili inapokuwa kubwa huchangia pia kukua zaidi kwa fangasi hawa wa candida na kusababisha dalili mbaya na aleji kwa vyakula. Mgonjwa anaweza kupata aleji ya vyakula kama mayai, maziwa na vyakula vya ngano.

Nini Kinapelekea Upate Fangasi Sugu

Pamoja na matumizi makubwa ya lishe yenye sukari na wanga iliyokobolewa hapa chini ni sababu zingine zinazopelekea upate fangasi sugu

1.Matumizi ya Muda Mrefu ya Antibiotics

Antibiotics ni dawa muhimu zinazotumika kuua bakteria wabaya kwenye mwili wako, japo lengo linaweza kuwa ni zuri lakini shida ni kwamba antibiotics haziui bakteria wabaya pekee bali hata wale wazuri ambao ni kinga dhidi ya fangasi. Matumizi ya muda mrefu hupelekea mwili kuwa sugu na kutosikia uwepo wa antibiotics na hivo kufanya mazingira mazuri ya fangasi kumea.

2.Vidonge vya Kupanga Uzazi

Wanawake wanaotumia vidonge vya kupanga uzazi wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu. Hii ni kutokana na kuvurugika kwa mazingira ya kawaida ya homoni.

3.Dawa za asthma

Wagonjwa wanaotumia dawa za pumu kwa kutumia kifaa cha mdomono(inhaler) wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu mdomoni. Hakikisha unafata maelekezo ya kusafisha mdomo kila baada ya kutumia kifaa hichi. Kama umeanza kupata dalili za fangasi mdomoni unaweza kusafisha mdomo wako kwa kutumia mafuta ya nazi. Tumia pia kirutubisho hichi cha cha Cordiceps kuimarisha kinga na kupunguza dalili mbaya za pumu.

4.Dawa za Kutibu Saratani

Tafiti zinaonesha kwamba kwa wagonjwa wa saratani, fangasi inaweza kusambaa haraka zaidi na kuleta madhara. Hii ni kutokana na tiba ya mionzi(radiotherapy) na dawa(chemotherapy) anayotumia mgonjwa wa saratani, tiba hizi hupunguza kinga ya mwili na kupelekea fangasi wa candida kusambaa. Wagonjwa wa saratani wanashauriwa kutumia Vidonge vya ginseng na ganoderma ili kuzuia kukua kwa seli za saratani na kuimarisha kinga.

5.Kisukari (Diabetes)

Sukari na mwili wenye tindikali inachochea ukuaji wa fangasi. Wagonjwa wa kisukari wapo kwenye hatari zaidi ya kupata fangasi sugu kutokana na mwili kushindwa kurekebisha kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Tunashauri wagonjwa wa sukari kutumia majani ya chai ya basalm na vidonge vya chitosan ili kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuimarisha afya zao.

6.Kuzorota kwa Kinga ya Mwili

Watu wenye kinga dhaifu ni rahisi zaidi kuugua fangasi sugu. Makundi ya watu hawa ni pamoja na watoto, wazeee, na wenye ugonjwa wa ukimwi. Kwa wagonjwa wa ukimwi tunawashauri kutumia kirutubisho hiki cha A power ili kuimarisha kinga zao na hivo kupunguza maambukizi ya fangasi ya mara kwa mara.

Dalili za Fangasi Sugu

1.Mwili kukosa nguvu mara kwa mara.

Kama unapata uchovu kupita kiasi na mwili kukosa nguvu mara kwa mara unaweza kuwa na tatioz linalojulikana kitaalamu kama chronic fatigue syndrome. Ugonjwa huu huambatana na uchovu wa zaidi ya miezi 6 na dalili zingine kama maumivu ya kichwa, jointi na kupoteza kumbukumbu.
Madaktari wengi wanaamini kwamba kukua kupita kiasi kw afangasi wa candida ni chanzo kikubwa cha ugonjwa huu wa chronic fatigue syndrome.

2.Maambukizi mara kwa mara Ukeni na UTI sugu

Kama unapata maambukizi ya UTI na fangasi ukeni kila mara, basi kwa kiasi kikubwa fangasi wa candida wanaweza kuwa ndio chanzo cha tatizo lako. Kumbuka kwamba fangasi wanaweza kuambukizwa kupitia ngono hivo ni muhimu kufanya ngono salama na wanawake kuepuka kuvaa nguo zilizobana na kuacha kuoga maji ya moto ukiwa na fangasi.

4.Utando Mweupe Kwenye Ulimi

Fangasi hawa wanaweza kuambukizwa kwa kufanya ngono kupitia mdomo na romans pia. Kwa watoto wanaweza kuambukizana kwa kushea vitu vya kuchezea. Wagonjwa wa pumu pia wanaweza kupata fangasi mdomoni kwa kutumia dawa ya kuvuta(inhaler) kwa amuda mrefu.

5.Maambukizi Kwenye eneo la Ndani la Tishu za pua(Sinus Infections)

Fangasi wa candida wanaweza kuleta athari kwenye tushu laini za ndani ya pua na kusababisha mgonjwa kukohoa mara kwa mara, mafua na aleji. Kama unapata kuuugua huku mara kwa mara na mafua yasiyoisha ni muhimu kucheki kama una maambukuzi ya fangasi wa candida.

5.Changamoto za Mfumo wa Chakula(Intestinal Distress)

Tumbo kujaa gesi mara kw amara, kujamba, kukosa choo na kupata choo kigumu ama kuharisha ni kiashiria kwamba kuna ukuaji wa fangasi kupita kiasi kwenye mfumo wa chakula. Fangasi wanaanza kukua kupita kiasi hupelekea kupungua kwa bakteria wazuri ambao husaidia kwenye kuchakata chakula na kinga. Mgonjwa anapokua chakula kinachelewa au kutosagwa vizuri na hivo kutengeneza gesi tumboni na hali ya kuharisha.

6.Ubongo kutofanya kazi vizuri(brain fog)

Pamoja na uchovu wa mara kwa mara na mwili kukosa nguvu, fangasi hawa wa candida wanaweza kupelekea kushindwa ufanya maamuzi vizuri na kupoteza kumbukumbu.

7.Maambukizi Kwenye Ngozi na Kucha

Fangasi kwenye kucha na kwenye ngozi ni matokeo kwamba vimelea hawa wa candida wamekua kupita kiasi kwenye mwili.

Ushauri kwa Mgonjwa Wa Fangasi Sugu

  • Mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa katika kupambana na fangasi kutokana na uwepo wa viambata hai vya lauric acid na caprylic acid. Tumia kwa kupakaa eneo lililoathirika na pia kupikia kwenye chakula. Hakikisha unapata mafuta asili yasiochanganywa na kemikali.
  • Tumia kirutubisho asili cha Garlic oil capsule chenye vidonge 60, tumia dozi

MAUMIVU YA NYONGA

 

Maumivu ya nyonga.

Watu wengi wamewahi kusumbuliwa na tatizo hili la maumivu ya nyonga kwa kipindi fulani katika maisha yao. Yaweza kuwa ni dalili za matatizo ya hedhi, constipation, kukua kwa tezi dume,na  matatizo ya neva. Kwa watu wachache tatizo linaweza kuwa sugu hadi kupeleka kukwamisha shuguli zao za kimaisha kama kunyanyua mizigo na kutembea vizuri au kufanya tendo la ndoa kwa uzuri.

Asilimia 60 ya watu wanaopata maumivu sugu ya nyonga bado hawajapatiwa ufumbuzi kufahamu nini kinasababisha maumivu haya kitu ambacho kinaleta wasiwasi kwa mgonjwa sababu atashindwa kujua hatima yake. Kwa mgonjwa kufahamu kinachosababisha maumivu haya ni jambo la msingi zaidi ili ujue tiba sahihi ya kukufaa.

Maumivu ya nyonga ni nini?

Kwa ujumla hakuna njia moja inayoweza kuelezea maumivu haya, ni maumivu yanayotokea sehemu katikati ya tumbo na eneo la hips , kwa baadhi ya watu maumivu yanaweza kuanzia kwenye eneo la chini ya mgongo na kusambaa hadi kwenye eneo la nyonga. Kwa upande wa mwanamke maumivu yanaweza kutokana na shida kwenye uzazi sababu mfumo wa uzazi wa mwanamke upo kwenye nyonga. Maumivu haya ya nyonga yanaweza kumpata mwanamke, mwanaume na hata watoto pia.

Dalili za maumivu ya nyonga

Maumivu ya nyonga siyo ugonjwa bali ni dalili ya uwepo wa tatizo la kiafya. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu na hutokea kweye nyonga na chini ya tumbo.

Dalili za maumivu  ya nyonga hutofautiana kwa wagonjwa, wengine hupata maumivu mepesi na wengine hupata maumivu makali. Kwa baadhi ya watu maumivu huweza kuwa makali hadi kupelekea kukwamisha shughuli za kimaisha kama mazoezi, kutembea na tendo la ndoa. Kwa ujumla maumivu ya nyonga huambatana na matatizo mengine kama kushindwa kufanya tendo la ndoa vizuri.

Nini kinasababisha maumivu ya nyonga?

Kuna sababu nyingi zinazopelekea maumivu ya nyonga kwa wanawake na wanaume. Inaweza kuwa ni maambukizi, ama athari kwenye viungo vya ndani kama kibofu cha mkojo, utumbo mpana, kwa wanawake yaweza kuwa ni shida kwenye uzazi. Hapa chini ni maelezo sababu kuu zinazopelekea maumivu ya nyonga.

  • Constipation: kukosa choo ama kupata choo kigumu kwa muda mrefu husababisha maumivu ya nyonga kutokana na presha na kujaa gesi kwa tumbo. Constipation yaweza kusababishwa na lishe mbaya, msongo wa mawazo, matatizo ya homoni, upungufu wa madini ya magnesium, kupungua kwa bacteria wazuri tumboni na kutoshugulisha mwili. Kwa kutumia package yetu ya digestive care unaweza kupona tatizo lako la constipation na kuimarisha afya ya tumbo. bonyeza hapa kuanza huduma ya virutubisho asili.
  • Matatizo ya kibofu cha mkojo: kibofu kinapopata hitilafu hupelekea kuvimba kwa tishu zake na kusababisha maumivu kwenye eneo la nyonga. Ugonjwa wa kibofu uitwao interstitial cystitis, ambao huletekeza dalili za UTI ni moja ya matatizo yanayosababisha maumivu ya nyonga.
  • Matatizo ya figo: matatizo kama maambukizi kwenye figo au mawe kwenye figo husababisha maumivu ya nyonga. Tatizo la mawe kwenye figo husababisha maumivu ya chini ya mgongo ambayo husambaa mpaka kwenye eneo la nyonga.
  • Hernia: hernia hutokana na kutofunga kwa eneo la chini ya tumbo na kupelekea kukua kwa tishu kukua kuelekea eneo la uzazi. Hernia husababisha maumivu makali ya nyonga.

Maumivu ya nyonga kwa wanawake

Maumivu ya nyonga kwa wanawake yanaweza na shida kwenye uzazi. Matatizo haya yanaweza kutokea kwenye viungo kama uke, shingo ya kizazi, mirija ya uzazi, mifuko ya mayai au mfuko wa mimba. Inawezekana pia kupata maumivu kutokana na sababu zaidi ya moja, sababu hizi zinaweza kuwa

  • Endometriosis : endometriosisi ni kitendo cha kukua kwa ukuta wa ndani(endometrium) wa mfuko wa mimba kuelekea nje ya mfuko wa mimba. Pale tishu zinapokua na kuwa nene husababisha dalili kama maumivu ya nyonga, maumivu kpindi cha hedhi, tumbo kujaa gesi na maumivu ya chini ya mgongo.
  • Fibroidsfibroids ni uvimbe usio saratani unaotokea ndani ya kuta za mfuko wa mimba. Tafiti zinasema kwamba karibu asilimia 40 mapaka 80 ya wanawake hupata shida ya fibroids katika uzazi kwenye maisha yao.
  • PIDpid ni maambukizi kwenye njia ya uzazi ambayo kwa kiasi kikubwa husababishwa na magonjw aya ngono kama chlamydia au gonorrhea. Dalili kubwa ni maumivu ya nyonga, maumivu wa wa tendo ndoa, maumivu wakati wa kukojoa, na kutokwa na uchafu ukeni kusiko kawaida.
  • Ovarian cysts: ovarian cysts ni mkusanyiko kwa vimbe ndogo ndogo zilizojaa maji kwenye mifuko ya mayai ya mwanamke. Kwa wanawake wengi vimbe hizi hazileti shida na huweza kupotea baada ya muda. Lakini kwa baadhi ya wanawake vimbe zinapokuwa kubwa huleta maumivu ya nyonga na kuvurugika kwa hedhi.
  • Kutoa mimba: dalili kubwa zinazotokea baada ya kutoa mimba ni kama kutokwa na uchafu ukeni usio kawiada, maumivu ya chini ya tumbo, maumivu ya nyonga, kuharisha na wakati mwingine kuzirahi kutokana na kutokwa na damu nyingi.
  • Maumivu kipindi cha hedhi: baadhi ya wanawake hupata maumivu ya nyonga wakati wa hedhi, mumivu haya huitwa dysmenorrhea kwa kitaalamu. Maumivu kipindi cha hedhi ni kutokana na kutanuka kwa misuli ya mfuko wa mimba.

Maumivu ya nyonga kwa wanaume

Ukiacha wanawake, wanaume pia hupata tatizo hili la maumivu ya nyonga, hasa wenye tatizo la tezi dume.. kuvimba kwa tezi dume ama maambukizi kwenye tezi dume husababisha maumivu ya nyonga, eneo la haja kubwa, kwenye tumbo la chini na pia maumivu kwenye kibofu. Dalili zingine zinazoonesha kuna shida kwenye tezi dume ni kupata maumivu wakati wa kukojoa ama kupata mkojo kidogo sana . unapoona dalili hizi wahi hospitali mapema ili kupata vipimo na tiba haraka.

ANGALIZO

Kuna sababu nyingi zinazopelekea maumivu ya nyonga na baadhi ya sababu hizi huashiria magonjwa hatari. Weka mihadi na dactari wako ufanye vipimo ili kujua chanzo cha tatizo. Kumbuka maumivu ya nyonga ni dalili na siyo ugonjwa kwahiyo ni lazima kujua ni ugonjwa gani unapelekea maumivu yako ya nyonga. Hivo basi kama unapata maumivu yasiyokwisha pamoja na kutokwa na uchafu ukeni kwa wanawake onana na dactari haraka hasa pale ukiwa mjamzito, maana inaweza kuwa ni dalili ya kutoka kwa mimba.

KUSAFISHA KIZAZI

Fahamu kwanini Nakushauri Kutumia Vidonge vya Ucp kusafisha kizazi na Siyo Njia nyingine.

UCP ni Dawa yenye vidonge 3 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa siku week 2, kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, kisha unapumzika siku2 unaweza tena kidonge kingine. Vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemkali.
UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni na ugumba.

Vidonge hivi vya UCP vitakusaidia kutibu Changamoto zaidi za Uzazi

mwonekano wa vidonge vya UCP

Kwa mwanamke kusafisha kizazi ni jambo la msingi hasa pale unapotaka kushika mimba,ama mimba kuharibika.

  • Kwa tiba ya hospitali kusafisha kizazi kwa Kifaaa cha MVA ambacho hutumika kusafisha kizazi pamoja gharama za dawa inaweza kufikia shilingi laki 3 na kuendelea. Gharama hii yaweza kuwa kikwazo kwa wanawake wengine kufikia lengo la kusafisha kizazi.
  • Vidonge vya UCP vinagharimu pesa kidogo tu sh elfu 50 ukilinganisha na gharama ya kusafisha kizazi hospitali, na uwezo wa vidonge hivi vya UCP wa kusafisha ni mkubwa zaidi na ni rahisi kutumia.
  • Kutumia vidonge vya UCP inakuepusha na maambukizi pamoja na makovu ambayo unaweza kupata wakati wa kuingiziwa kifaa cha kukusafisha hospitali.
  • Vidonge vya UCP vinakusaidia pia kuongeza uzalishaji wa ute kwenye uke, ute ambao ni muhimu kwa mimba kutungwa.

Makundi ya Wanawake Wanaotakiwa Kutumia Vidonge hivi vya UCP.

Wanawake wenye

  • Uvimbe kwenye kizazi
  • Uvimbe kwenye mifuko ya mayai (ovarian cysts)
  • Maambukizi sugu kama PID na UTI
  • Kuvurugika kwa homoni na hedhi
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa na maumivu wakati wa tendo
  • Kuziba kwa mirija ya uzazi
  • Kuimarisha misuli ya uke
  • Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni na
  • Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba

Ucp haitumiki kwa Wanawake hawa

  • Wenye mimba
  • Wanawake bikira

Hatua Zaidi za Kuimarisha Afya ya Kizazi

Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi. Ikiwa una magonjwa kama fibroids, ovarian cysts na kuziba kwa mirija hakikisha unapitia makala zake ambazo tayari tumeshaziandaa hapa kwenye website yetu.

Mazoezi: Hii ni hatua ya kwanza kabisa kuelekea kwenye kusafisha kizazi chako. Maozei ya kutembea na Yoga ni mazuri zaidi hata kama wewe ni mvivu wa kwenda gym au uwanjani, yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu na unyumbulikaji wa misuli kwenye kizazi.

Fertility Massage:Kufanya msaji eneo ya tumbo chini ya kitovu pande zote kulia na kushoto ni njia moja rahisi ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani pasipo gharama. Masaji ya tumbo inasaidia

  • Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye kizazi,ovari na mirija ya uzazi
  • Kusaidia uwiano wa vichocheo
  • Kuongeza uwezo wa kizazi kujisafisha kwa kutoa tishu zilizokufa na damu ya hedhi
  • Kuimarisha usambazaji wa hewa safi ya oksijeni kwenye kizazi na Kuimarisha misuli ya kizazi.

MENO

 

Asili meno Whitening gels

Meno Whitening

Shining tabasamu nyeupe ni maarufu leo, na kuna aina mbalimbali za bidhaa na mbinu kusaidia kufikia aina hii ya kuangalia stunning.

Kama sio kuridhika na uangaze brushing na floridi zenye dawa ya meno mara mbili kwa siku na cleanings katika meno ya inakupa, basi hii habari kuhusu njia nyingine itakuwa ya kuvutia sana na wewe.

Meno Whitening kuwa moja ya matukio makubwa ya Dentistry leo. smile mwangaza nyeupe hutoa kwa muonekano wetu ni jicho-kuambukizwa. Weupe meno kuboresha inaonekana yetu kwa kasi, na kufanya tuangalie vijana, kujiamini zaidi na kuvutia. Hii ni sababu zaidi na zaidi wanaume na wanawake wa umri tofauti tofauti wanachagua kwa ajili ya kuboresha smiles yao kwa njia ya meno Whitening kutumia meno ya asili Whitening gels na bidhaa nyingine.

American Academy ya Cosmetic DentistryMatokeo ya Academy ya hivi karibuni ya Marekani ya Cosmetic Dentistry utafiti ilionyesha 3 ukweli kuu juu ya meno Whitening:
  1. 96% waliona kuwa mkali tabasamu nyeupe kweli haina kufanya kuvutia zaidi kwa jinsia tofauti
  2. smile unattractive unaweza vibaya athari ya kazi yako ya mafanikio, kulingana na 74% ya washiriki
  3. Wengi waliohojiwa walikubaliana kwamba tabasamu ni mali muhimu ya kijamii

Athari Whitening meno

meno Whitening athari ni ya kudumu na muda wake inategemea zaidi aina ya chakula na kinywaji sisi hutumia. Wakati wazi kwa vile chakula na kunywa kwamba Madoa sababu, weupe anaweza mwisho kidogo kama mwezi mmoja baada ya hapo kuanza fading. Katika kesi ya aina hii ya chakula na kinywaji kuepukwa inaweza mwisho hadi mwaka mmoja mpaka utaratibu mwingine.

Vile sababu kama asili ya hali doa, meno na aina ya mfumo wa blekning kutumika kama vile muda ni kutumika, kuamua shahada ya weupe kwamba yatafikiwa ifikapo mwisho wa utaratibu.

Meno Whitening Wagombea

utaratibu mapambo ya meno Whitening haifai kwa kila mtu. required masharti kwa wagombea meno Whitening ni afya meno (unrestored, bila fillings) na ufizi afya.

Tangu meno Whitening inafanywa na kemikali kama vile peroksidi hidrojeni au carbamine ambayo husababisha fizi na meno hisia, watu wenye matatizo yafuatayo hawawezi kufaidika na utaratibu huu: ugonjwa wa fizi cavities, Streaks nyeupe au matangazo ya juu ya meno, jino fillings rangi au taji juu ya meno ya mbele, nyeti meno.

American Dental AssociationKulingana na Marekani Dental Association:

Unaweza kuanza kwa kuzungumza na meno yako. Anaweza kukuambia kama Whitening taratibu itakuwa bora kwa ajili yenu. Whiteners inaweza sahihi kila aina ya kubadilika rangi. Kwa mfano, njano-ish meno hued pengine bleach vizuri, hudhurungi rangi ya meno inaweza bleach chini vizuri, na kijivu-hued meno inaweza kusafisha vizuri wakati wote.

Meno Whitening Bidhaa

Kuna aina pana ya meno Whitening bidhaa mbinu na inapatikana katika soko la leo. Na wingi hii inafanya kuwa vigumu kwa watu kuchagua haki ya mmoja. Ili kufanya uchaguzi sahihi moja lazima kupata taarifa sahihi, kwa kuwa ya tatu ya bidhaa hizi na mbinu misrepresent ufanisi wao. habari unahitaji kujua kabla ya opting kwa meno ya uhakika Whitening bidhaa ni kuhusu kama ni thamani ya bei ya bidhaa kushtakiwa kwa ajili yake, unapaswa kuona daktari wa meno na kile huduma inahitajika wakati wa kutumia bidhaa mwenyewe.

Meno Whitening Toothpastes

Meno Whitening toothpastes kuondoa stains uso tu na huwa bila bleach, ingawa yana mawakala kemikali fulani na polishers mpole kwamba kuondoa stains kwa ufanisi zaidi. Tangu wote toothpastes vyenye abrasives katika kiasi kidogo wote kuondoa stains uso.

Meno Whitening gels

Peroksidi-msingi, wazi meno ya asili Whitening gels ni kutumika moja kwa moja kwenye meno na brashi kidogo kawaida mara mbili kwa siku kwa siku 14. Matokeo ya kwanza kuwa dhahiri katika siku chache, na matokeo ya meno ya asili Whitening gels mafanikio katika mwisho zuilia kwa miezi 4.

Tray-Based meno Whitening

tray makao meno mbinu Whitening inatumika kwa kujaza tray kinywa (au walinzi) na ufumbuzi Whitening gel, zenye peroksidi-blekning kikali na amevaa kwa kipindi cha muda ambayo kwa kiasi kikubwa inategemea wa whitening unataka kufikia na shahada ya kubadilika rangi. Kawaida ni lazima zivaliwe kutoka saa mbili kwa siku kwa wote-usiku mzima kwa wiki nne au zaidi.

I-Ofisi ya meno Whitening

haraka kati ya meno Whitening mbinu (na pia ni moja ya gharama kubwa) ni moja ya kazi katika ofisi, wakati wakala Whitening inatumika wa kulia juu ya meno mara nyingi pamoja na joto maalum mwanga, au laser. Hata baada ya mmoja kama 30-60 dakika ya utaratibu ni wa kutosha kuona matokeo. Lakini kwa moja zaidi ya mahitaji makubwa ya utaratibu huu kwa kuwa mara kwa mara kwa mara kadhaa.

FDAFDA onyo:

Tangu kuna idadi ya meno Whitening bidhaa na mbinu, kuwa na uhakika wa utafiti aina ya Whitening wewe ni kupokea ili wewe ni chanya ina FDA idhini.

Meno Whitening Madhara

Moja ya madhara ya kawaida meno Whitening upande ni kuwasha kali ya tishu kinywa na kuongeza muda katika meno unyeti zote zinazotokea kama utawala katika siku za kwanza za blekning matibabu. Tishu inakera, ingawa, mara nyingi ni matokeo ya tray mgonjwa kufaa kinywa na si wakala blekning yenyewe. Mazingira haya kwa kawaida kutoweka peke yao ndani ya siku 1-3 baada ya matibabu kukatiza au kumaliza.

Hizi ni baadhi ya vidokezo ili kupunguza au kuondoa hisia na meno mengine Whitening madhara:
  • Kufupisha kipindi kuvaa tray kwa mfano mbili dakika 30-vikao badala ya mbili ndio 60-dakika.
  • Kuchukua mapumziko katika mchakato kwa siku moja au mbili ili kutoa meno yako muda wa kuzoea mchakato na bidhaa.
  • High floridi zenye bidhaa unaweza kuuliza kwa meno yako itasaidia remineralize meno yako na kupunguza hisia zao. Bidhaa hii flouride yanapaswa kutekelezwa kwa tray na huvaliwa kwa muda wa dakika 4 kabla na baada ya amevaa wakala Whitening.
  • Inashauriwa kutumia meno ya asili Whitening gels na bidhaa za asili.
  • Matumizi ya dawa za meno kwa meno nyeti wakati brushing yako, tangu potassium nitrate wao vyenye ina athari ya soothing nerve endings meno.

Asili meno Whitening

Usalama ni kipaumbele namba moja katika meno Whitening mchakato tangu tunahitaji si weupe tu lakini pia meno ya afya na nguvu. Hii ni sababu ni chaguo bora ya bidhaa Whitening ni asili meno Whitening gels kupitishwa na FDA, kwamba dhamana ya kuonekana ufanisi bila kuacha afya halisi ya meno. mbalimbali ya asili ya bidhaa za meno Whitening ni pamoja na gels creams, pamoja na high tech na taratibu ngumu zaidi ya meno. Yote haya ya asili bidhaa meno Whitening kuthibitisha wewe kama mteja kuwa bidhaa hiyo ni kununua ni ya ubora wa juu, na utendaji wake kwa ujumla ni clinically kipimo kuwa bora na salama.

Asili meno Whitening gels

formula kipekee ya viungo mitishamba zilizomo katika meno ya asili Whitening gels ufanisi kuondosha stains njano, na kuacha meno yako weupe sana. Pamoja na brashi topical wao kupambana na sababu za Madoa, hivyo kutoa matokeo ya kuaminika zaidi na bora kuliko kuangalia meno Whitening bidhaa nyingine kufanya.

Kutumia meno ya asili Whitening gels kufikia meno kitaalamu Whitening nyumbani. Kutoa ni dakika chache tu ya kila siku ya asili meno Whitening gels itakusaidia kupata matokeo sawa na ya meno ya kuokoa nzuri lakini duru jumla utakuwa na kushtakiwa huko.

Tunapendekeza bora meno ya asili Whitening gels:
  1. Smile 4 Wewe meno Whitening Kit - 96 pts.
  2. Idol White Teeth Whitening System - 89 pts.
  3. Alta White Teeth Whitening - 65 pts.
RatingBidhaa za afya# 1 - Smile 4 Wewe meno Whitening Kit, na pointi 96. Smile 4 Wewe asili meno ya asili Whitening kits ni njia salama, urahisi na ufanisi wa Whitening meno kutoka faraja ya nyumba yako mwenyewe. FDA kupitishwa asili meno Whitening gel ina 16% Carbamide peroksidi ambayo ni sawa na 5.8% peroksidi hidrojeni) - Smile 4 nyumbani Wewe wa meno Whitening hasa vifaa vya kutoa nguvu hiyo ya gel whitening kama kutumiwa na Madaktari wa meno wakati katika upasuaji-Whitening matibabu.

Smile 4 Wewe Dhamana: kama kwa sababu yoyote wewe si furaha na kit yako, tu kurudi kwa ajili ya marejesho ya kodi kamili.

Smile 4 Wewe Kit ni pamoja na: meno ya asili Whitening gel (Carbamide peroksidi hidrojeni, Glycol Propylene, glycerine, Maji, Carboner, TEA & Orange Flavouring) ya kutosha kwa ajili ya matibabu zaidi ya 200, 2 hati miliki ya Juu & Fomu Mouth Trays, applicator, Blue Laser Mwanga Accelerator, 2 Aftercare gels na maelekezo kamili.

Kwa nini # 1 Smile 4 Wewe kits kikamilifu kupitishwa na Tawala za Chakula na Dawa ya Marekani (FDA)?. wengi wa wateja kuona tofauti ya vivuli hadi 11 nyepesi katika wiki mbili. Aidha, kupata mara 4 zaidi meno ya asili Whitening gel katika Smile 4 Wewe kuliko bidhaa nyingine yoyote meno Whitening. Hii ina maana kwamba karibu asili hakuna wengine meno Whitening kit wanaweza kushindana na gharama kwa matibabu ya Smile 4 Wewe kits. Kwa maisha ya rafu ya miaka 2 unaweza kuendelea weupe yako yapo juu, bila kununua zaidi gel.

Order Smile 4 Wewe
RatingBidhaa za afya# 2 - Idol White Teeth Whitening System, 89 kati ya 100. Idol White ni ya kipekee meno Whitening mfumo wa nuru smiles ya maelfu ya wateja ameridhika. Mchanganyiko yake ya kipekee ya asili viungo meno Whitening hutoa asili nyeupe kivuli katika meno yako, kuruhusu kupata smile weupe na Brighter bila hassles au gharama ya zaidi mifumo ya meno Whitening.

Idol White Dhamana: 90 Siku. Kama hawajaona matokeo wewe walikuwa wanatarajia au si kuridhika kwa njia yoyote ile, kutuma kisha nyuma yako vyombo tupu au sehemu kutumika.

Viungo ya Idol White: glycerin, Maji, peroksidi hidrojeni, Carbomer, hidroksidi sodiamu, EDTA, peremende ya mafuta, Saccharin Sodium.

Kwa nini # 1 Idol White? Ni pamoja na vipengele chini ya Smile 4 Wewe meno Whitening kits ambayo inafanya kuwa chini ya ufanisi.

Order Idol White
RatingBidhaa za afya# 3 - Alta White Teeth Whitening got 65 kati ya 100. Alta White Teeth Whitening mfumo huanza kuosha kahawa, chai na nyingine ngumu-kwa-kuondoa stains baada ya kutumia moja tu. kipekee 2 hatua mchakato releases oksijeni huru oxidize na kuinua stains hai mbali na meno.

Dhamana: 90 Siku. Kama hawajaona matokeo wewe walikuwa wanatarajia au si kuridhika kwa njia yoyote ile, kutuma kisha nyuma yako vyombo tupu au sehemu kutumika.

Viungo ya Alta White: N / A.

# 1 nini? Rasmi Alta White Teeth Whitening tovuti haina yatangaza orodha ya viungo. Hakuna ishara ya kibali FDA.

MADHARA YA PUNYETO

  Tiba ya madhara ya upigaji punyeto. Mwanaume mwenye mawazo Kundi kubwa la wanaume wamepungukiwa uwezo wa tendo la ndoa kutokana na kitendo...